damnlyrics.com

Jambo Jipya (feat. Essence of Worship)

Jambo Jipya Lyrics

Nimekukimbilia Bwana, Nisiaibike

Unitegee sikio, Uniokoe

Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nisiangamie

Kwa maana wewe ndiwe, Ngome yangu

Mi naomba unifiche ndani yako, uniimarishe juu ya neno lako

Mi naomba unifiche ndani yako, niweze kushinda kwa nguvu zako

Nimekukimbilia Bwana, Nisiaibike

Unitegee sikio, Uniokoe

Uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nisiangamie

Kwa maana wewe ndiwe, Ngome yangu

Mi naomba unifiche ndani yako, Uniimarishe juu ya neno lako

Mi naomba unifiche ndani yako, Niweze kushinda kwa nguvu zako

Sitachoka, wewe utaniimarisha

Sitakufa, bali nitaaishi kusimulia

Wema wako, utanikimbiza daima

Naamini, unafanya jambo jipya

Fanya Jambo Jipya x9

Fufua Mifupa, iliyo nyauka x4

Fanya Jambo Jipya x4

Fufua Mifupa, iliyo nyauka x4

Fufuka Mifupa, iliyo nyauka x4

Fanya Jambo Jipya x8

Fufua Mifupa, iliyo nyauka x2

Mi naomba unifiche ndani yako, uniimarishe juu ya neno lako

Mi naomba unifiche ndani yako, niweze kushinda kwa nguvu zako

Enjoy the lyrics !!!