damnlyrics.com

Kama Ipo

Riziki mafungu saba Anapanda Rabana Usikate tamaa hata kama leo umegwama Maisha ni kama vita ipigane we mwenyewe ili uweze kuishi jinsi unavyo taka wewe siri ya mafanikio daima ni kubabana bora uongeze juhudi kwa kila jambo unalofanya kila kazi inahitaji juhudi na maarifa wajibika kama mchwa ipo siku utasikika

Lyrics Submitted by ANDERSON BERU

Enjoy the lyrics !!!