damnlyrics.com

Kando Ya Mto

Chorus

Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi,

Tukalia tupoikumbuka Sayuni,

Katikati ya miti tulivitundika vinubi vyetu,

Tukaishi kwa mateso mingi shidaa, (Babeli)X2

1.{

Walitaka tuwaimbie, nyimbo za Sayuni>x2

x2}x2

2.

Akatutoa Babeli kwenye mateso na dhiki oo, Lakini badi wenzetu wengine wameng'ang'aniaa,

Babeli x2, matesoni>x2

3.

Watu wako oo, waangamia Babeli. >x2

(Oo Sayuni)

[(Sayuni kuna raha tele x2), Njoo uone raha ya Sayuni.

(Wewe uliye)

(Wewe uliyebabeli x2) Njoo uone raha ya Sayuni.

(Dhambi dhambi oo)

(Dhambi unayoiona ndogo oo, itakuangamiza, jihanamu x2) ]x2

Lyrics Submitted by Henry

Enjoy the lyrics !!!