(Intro)
Aah eh kichwa kinauma (track ni Marko Chali)
Kichwa kinauma kichwa kinauma heh iyee ×44
(Chorus)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (sasa tutafanye)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (mpaka kichwa kinauma)
Aah eh tutafanyaje?
Siyo siri buana kichwa kinauma
(Verse 1)
Kichwa kinauma kila nikijituma badala ya kuenda mbele ninarudi nyuma
Japo tunarusha na ngoma zinavuma lakini kimapato bado tuko nyuma
Aah eh kichwa kinanuma (Hata mimi pia kichwa nikauma)
Aah eh kichwa kinaumaga (Siyo siri kweli kichwa kinaniuma)
(Verse 2)
Hapa nikute mizunguko yangu nimefanya MJ (ndugu yangu)
Nasinifokee mpenzi wangu nikirudi basi anipokee namuomba
Aki vile baba yako deal zimemuuma (heeh zimemuuma)
Siyo siri dada mimi sirudi nyuma (heeh)
Eh eh eh
(Chorus)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (sasa tutafanye)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (mpaka kichwa kinauma)
Aah eh tutafanyaje?
Siyo siri buana kichwa kinauma
(Verse 3)
Ni yule yule tumejua mtoto wa kitaa
Deal zote changaa mi nashangaa
Kichwa kinauma na mambo mshoberi nachuna eh!
Mi nawaza ni lini mziki utapanda bei
Toka kale mpaka sasa matumishi sikupei
Siku inanjaa ntakupa wakiwa njaa hawajui
Ni wachache wametawala maadui
Mwisho lawama kifoo mambo kwetu before
(Verse 4)
Nawaza ameniteka akili kama Jemoo...
(Chorus)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (sasa tutafanye?)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (mpaka kichwa kinauma)
Aah eh tutafanyaje?
Siyo siri buana kichwa kinauma
(Verse 5)
Nyumba baba hakuna pesa ah
Zile deal walopanga bosi kamutoka ah
Ukicheki hadi master anataka pesa ah
Baba naye hanayakunisomesha ah
Hadi kichwa kinauma
Malaria si malaria mwili wote nyang'anyang'a
Biashara vitu kuuza ila cha ajabu haziuziki
Ninabaki tu nimenuna ndonga inauma ...
(Chorus)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (sasa tutafanye?)
Zile deal tulizofanya buana hazijalipa (mpaka kichwa kinauma)
Aah eh tutafanyaje?
Siyo siri buana kichwa kinauma
Ah eh kichwa kinauma
Siyo siri buana kichwa kinauma
(Verse 6)
Maskini kichwa kinawauma (eh kinauma)
Hata matajiri nao kichwa kinawauma (ah wote kinawauma) ×2
(Outro)
Kichwa kinauma heh iyee
Kichwa kinauma heh iyee
Kichwa kinauma
Kichwa kinauma heh iyee
Heh iyee
Heh iyee
Lyrics Submitted by Shaddy Jacob