damnlyrics.com

Kigeugeu

Dunia nizamishe

ama uniweke niishi pekee yangu, kwani

ninapomwamini kila binadamu, mwishowe

ananigeukiaDunia nizamishe

ama uniweke niishi pekee yangu, kwani

ninapomwamini kila binadamu, mwishowe

ananigeukiaChorus

nimtazame nani, nimwamini nani (nani)

wananigeukia

vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukiaVerse 1

namwamini daktari sana amponye

rafiki yangu

anamweka kwenye life support machine,

kumbe aliaga ni pesa anakusanya

mama mzito anamwamini mkunga

amzalishie mtoto baada ya miezi tisa

mkunga anamgeukia

mtoto anamgeuzia

niki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukia

niki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukianiki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukia

niki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukiaChorus

nimtazame nani, nimwamini nani (nani)

wananigeukia

vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukianimtazame nani, nimwamini nani (nani)

wananigeukia

vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukiaVerse 2

mwanasiasa aliniomba kura

akiniahidi yote atatimiza

baada ya miaka tano anarudi na kitambi

bila kutimiza

nina pastor ka jirani yangu nilimwamini

kufa na kupona

nikitoka kwangu, naye anaingia kuzali

na bibi yanguniki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukia

niki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukianiki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukia

niki-hustle juu chini ili nivuke border

wananigeukiaChorus

nimtazame nani, nimwamini nani (nani)

wananigeukia

vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukianimtazame nani, nimwamini nani (nani)

wananigeukia

vigeugeu... vigeugeu... vigeugeu wananigeukiaVerse 3

Dunia nizamishe

ama uniweke niishi pekee yangu, kwani

ninapomwamini kila binadamu, mwishowe

ananigeukiaDunia nizamishe

ama uniweke niishi pekee yangu, kwani

ninapomwamini kila binadamu, mwishowe

ananigeukiabibi yangu kigeugeu

pastor wangu kigeugeu

mkunga kigeugeu

wanasiasa vigeugeu

rafiki yangu kigeugeu

fundi wangu kigeugeu

dereva, kigeugeu

conductor, kigeugeubibi yangu kigeugeu

pastor wangu kigeugeu

mkunga kigeugeu

wanasiasa vigeugeu

rafiki yangu kigeugeu

fundi wangu kigeugeu

dereva, kigeugeu

conductor, kigeugeu

Enjoy the lyrics !!!