damnlyrics.com

Kijito Cha Utakaso

Kijito cha utakazo ni damu ya yesu

Bwana ana uwezo kunipa wokovu

Kijito cha utakazo nizame kuoshwa humo

Namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakazo

Viumbe vipya naona damu ina nguvu

Imeharibu uovu uliodhulumu

Naongoka kutembea nuruni mwa Bingu

Na moyo safi kabisa kupendeza mungu

Ni nehema ya ajabu kupakwa na damu

Na Bwana yesu kumjua yesu wa msalaba

Lyrics Submitted by DUKE NYAMWEYA

Enjoy the lyrics !!!