damnlyrics.com

Kizaizai (Remix)

{Verse 1}

Yanaanza kama safari twende folani ukaone,

Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2

Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake

Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2{Chorous} x2

Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai)

Yanaumiza (Kizaizai)

Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya

Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)

Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)

Kazi ukaona chungu (Kizaizai)

Nyie Mapenzi karaha (Kizaizai){Verse 2}

Yananyima furaha....

Yanakosesha raha....x2

mmmmm

Tena usiombe kupenda uliempenda ajuee

Tena usiombe kupenda uliempenda ajue

Amani utakosa Karaha jamani eeeh..

Dunia tena chungu kufa utatamani eeh..

Mungu aliumba dunia na Maajabu yake

Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2{Chorous}

Nyie Mapenzi yanauma (Kizaizai)

Yanaumiza (Kizaizai)

Oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya

Weza gombana na Ndugu (Kizaizai)

Rafiki akawa Mubaya (Kizaizai)

Kazi ukaona chungu (Kizaizai)

Nyie Mapenzi karaha (Kizaiza

Baba na mama watake

Chakula tamu ni sumu

Mashoga sasa wanafiki

Kulala nanyi ni ngumu

eeh yanauma tena yanauma

Enjoy the lyrics !!!