1(Brian Chweya):
Kuna Watu Hatari, Wenye Mapenzi Zenye Siri Kali,
Letu Nalo Lina Jua Kali, Penzi Letu Serikali,
Wajua Nakupenda, Malaika...
(Maureen):
I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I, Love You,
(Aiyayaaaaa)
I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You,
(Aiyayaaaaa)
I'm Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love You,
(Aiyayaaaaa)
I'm Going Koo Koo, Na Sijishuku I, I Love You
2(Wambizzy):
Kuna Wengi Walafi, Fimbo Zao Haziui Mbali,
Wengi Wao Wajidai, Mimi Kwako No!!! Sitawai,
Mmm Take Me, Nitembee Nawe,
Baby Take Me, Nitembee Nawe,
(MAUREEN):
Bridge(Maureen):
We Ni Ua, La Kishua,
Malaika, Na Kuita,
We Ni Ua, La Kishua,
Malaika, Na Kuita...
(MAUREEN):
Song Discussions is protected by U.S. Patent 9401941. Other patents pending.
Enjoy the lyrics !!!