damnlyrics.com

Lazizi

Verse 1:

Lazizi wangu we

Zawadi nono kutoka mbinguni

Nakuwaza my baby ( Nakuwaza my baby)

Nikikuwaza usiku silaliChorus:

Nikikuona na wengine nashikwa na wivu

Naomba unipe number yako nikuvutie wire

Nikupeleke Java

Tunywe kahawa

Tukizubaa dubaa dubaaVerse 2:

Mukhali wanje we

Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)

Shihanwa shyanje khurula khu-nyasayeChorusBridge:

Zunguka zunguzukane

Nikitafuta kama wewe

Mi nafeel so nice

Unanipa mi amani

Mbele Baby

Sioni njia bila wewe

wewe...eeeh LaziziChorusMazoe manana (Mazoe manana ah)

Kadonangaeuta na lola, Na

Kanisakayo sheri nanga

Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)Chorus

Enjoy the lyrics !!!