damnlyrics.com

Mafunzo Ya Dunia

Mafunzo ya dunia

Niishi ni ose

Nisote nikope

Nipate ya wote

Utatembea pengi

Na macho ni mingi

Sikio ni mbili

Tumia akili

Uwe wa kwanza

Usiwe wa pili

Maisha si movie katika hizi enzi

Oooh dunia mbona hukunipa penzi

Maisha haya kwako hapa ni magumu

Ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi

Mimi nina shangaa (aaaaah)

Mimi nishangaa Nilifanya nini

Ili niishi ivi

Maisha yangu yangu duni

Naimba hii mziki nipate riziki

Mwisho nitanawiri niendeshe mercedes

Nitangaa shida za dunia niziache nyuma niendelee

Dunia mbona hukunipa penzi

Maisha haya kwangu hapa ni magumu

Ninavumilia mwisho nitajivunia

Ya dunia mbona hukunipa penzi

Mimi ninashangaa (aaaaaah)

Mimi ninashangaa

END

Song Discussions is protected by U.S. Patent 9401941. Other patents pending.

Enjoy the lyrics !!!