damnlyrics.com

Mapacha

mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,

usinilenge mi malanga aa,

sina mengi mimi nina shairi mashairichorus

oooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika

wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrikawe uje nizalie musichana

nami nikupe wewe kijana

penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii

sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu!chorus

Enjoy the lyrics !!!