damnlyrics.com

Matatizo

MATATIZO lyrics by Harmonize

Aiyelaaa, olelelelele......

Alfajiri imefika, anga inang'aaa

Mvua inaanza katika, gafla tumbo la njaa

Naweka sauti kwa spikaa, nipate umbea wa Dar

Mara simu inaita, jina la uncle Twaha akisema

Mama yuhoi kitandani, kama si waleo wakesho

Na kupona sizani upate japo neno la mwisho

(PRE-CHORUS)

Mindo mtoto wa pekee, nyumbani wananitegemea

Mdogo wangu wa kike, haliduni alishaga olewa

Tazama jasho langu la mnyonge, kipato hakikidhi mahitaji

Napiga moyo kondee, yalabi Mola ndo mapaji matatizo

(CHORUS)

Matatizo, yatakwisha lini.....

Matatizo, kila siku mimi (ewe Mola)

Matatizo, yatakwisha lini...

Japo likizo, nifurahi na mimi.....

Mola aliniumba na subira, imani peke ngao yangu

Mbona nishasali sana, ila mambo bado tafarani...

Mama kanifunza kikabira, ikunde sanda haimi yangu

Tena nijitume sanaa na vya watu, nisivitamani

Hata mpenzi nilo nae, najua siku atanikimbia

Itatesa ye ndio nguzoo.....

Zile ngoja kesho badae atazichoka kuzivumilia

Anakosa hata matunzoo....., onaa

Nadaiwa kodi nilipopanga, nashinda road nikilanda

Nishapinga hodi kwa waganga, kwa kuhisi nalogwa

Nikauza maji na karanga, nikawa dobi kwa viwanda

Ila kote ziro ni majanga, mtindo mmoja

(PRE-CHORUS)

Mindo mtoto wa pekee, nyumbani wananitegemea

Mdogo wangu wa kike, haliduni alishaga olewa

Tazama jasho langu la mnyonge, kipato hakikidhi mahitaji

Napiga moyo kondee, yalabi Mola ndo mapaji matatizo

Lyrics Submitted by Benson Kariuki

Enjoy the lyrics !!!