damnlyrics.com

Mawazo Ya Mungu

{Mawazo ya Mungu ni tofauti kabisa na mawazo ya wanadamu

Na mwanadamu anavyokuwazia

Tofauti kabisa na Mungu anavyokuwazia

Amenikumbuka Mungu, shetani hanipati tena FATANA NAMI}

Waliponitazama sina elimu ya kutosha

Wakasema atakoma eti maisha yataniharibu

Nani ataniajiri sina elimu ya kutosha wakasema atakoma eti jiji nitalitambua

{Wanadamu wana maneno mengi sana ya kukatisha tamaa

Lakini maneno ya mungu ni ya baraka HALELUYA}

Yesu akawasikia

Akasema Abiudi

Abiudi mwanangu njoo kwangu mi nikuajiri

Nenda kawe mchungaji

Huuuku ukiniimbia

Usijari maisha mshahara nitakulipa mimi

{Nilipoanza uchungaji wengi walicheka wakasema ndo sasa anaenda kuharibika kabisa, lakini Mungu alivonibariki tofauti kabisa na mawazo yao}

[Ameniajiri Mungu ×3] mshahara nalipwa na yeye

Ameniajiri Yesu

Ameniajiri Mungu

Ameniajiri mimi mshahara nalipwa na yeye

{Leo hii katika wimbo huu, Mungu anaenda kukukumbuka, Mungu anaenda kukuvusha hapo ulipo na woote wanaokudharau wataaibika}

Amenikumbuka Mungu HALELUYA Amenikumbuka Mungu

Amenikumbuka Mungu

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (amee), amenikumbuka (amee)

Amenikumbuka

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (bye bye×2)

Amenikumbuka (bye bye shetani)

Amenikumbuka (bye bye)

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (umasikini)

Amenikumbuka (bye bye tabu)

Amenikumbuka (bye bye mateso)

shetani hanipati tena

Kama wapo wanaodhani ipo siku nitashindwa ilo wazo na wafute

Shetani hanipati tena.

Kama wapo wanaoroga Ipo siku mi nishindwe

Izo dawa wakatupe shetani hanipati tena.

Amenikumbuka (bye bye×2)

Amenikumbuka (bye bye shetani)

Amenikumbuka (bye bye)

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (umasikini)

Amenikumbuka (bye bye tabu)

Amenikumbuka (bye bye mateso)

shetani hanipati tena

Amenibariki Mungu

Amenifuta machozi

Ameondoa aibu

Shetani hanipati tena

Kama wapo wanaowaza Ipo siku nitashindwa

Ilo wazo na wafute

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (bye bye×2)

Amenikumbuka (bye bye shetani)

Amenikumbuka (bye bye)

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (umasikini)

Amenikumbuka (bye bye tabu)

Amenikumbuka Yesu (bye bye mateso)

Shetani hanipati tena

Amekubariki Yesu ***

Amekubariki Mungu

Shetani hakupati tena

Imani umeilinda

Tuige mfano wako

Amekubariki Mungu

Shetani hakupati tena

Amenikumbuka (bye bye×2)

Amenikumbuka (bye bye shetani)

Amenikumbuka (bye bye)

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (umasikini)

Amenikumbuka (bye bye tabu)

Amenikumbuka (bye bye mateso)

shetani hanipati tena

Amekubariki Yesu ***

Amekubariki mno

Shetani hakupati tena

..***.. ndani yake

Amekubariki Yesu

Shetani hakupati tena

Amenikumbuka (bye bye×2)

Amenikumbuka (bye bye shetani)

Amenikumbuka (bye bye)

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (umasikini)

Amenikumbuka (bye bye tabu)

Amenikumbuka (bye bye mateso)

shetani hanipati tena

Amekubariki Mungu

Mwinjilisti we ***

Amekubariki Mungu

Shetani hakupati tena

Kama gari unalo na vyombo unavyo

Sasa unataka nini

Nenda kahubiri injili

..***..

Amenikumbuka (bye bye×2)

Amenikumbuka (bye bye shetani)

Amenikumbuka (bye bye)

Shetani hanipati tena

Amenikumbuka (umasikini)

Amenikumbuka (bye bye tabu)

Amenikumbuka (bye bye mateso)

Shetani hanipati tena

Enjoy the lyrics !!!