damnlyrics.com

Mbeba Maono

Ndoto ya Yusufu alipowaambia ndugu zake

Maono ya Yusufu alipowaambia ndugu zake

Kwamba ameona wakimwabudu, wakimsujudia

Kwamba ameona wakimwabudu, na kumsujudia

Ndoto ya Yusufu ndicho kilikuwa chanzo

Ndoto ya Yusufu kilikuwa ni chanzo cha vita yake

Mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe

Mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi naweMbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane

Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane

Shetani ameota ndoto ya kwamba umeshindwa

Mbinguni malaika wanashangilia ya kwamba umeshinda

Maana mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe

Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana kusudi nawe

Yale maono yako juu ya familia yako

Yale maono yako juu ya kuinua kazi ya Mungu

Maono yako yako hafi

Amechukuwa nani

Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana kusudi nawe

Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana mpango naweweMbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane

Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane

Ndoto ya Yusufu kweli ilichelewa

Akatupwa gerezani, ndoto ilichelewa

Lakini mwisho wa siku ndoto ilitima

Wale walio mwuuza utumwani ndio walio wamwangukia tena

Yawezekana na wewe leo ndoto imechelewa

Hao wanaokudharau leo ndio watakao kuheshimu

Umebeba maono gani juu ya maisha yako

Yawezeka kuna watu wamekukatisha tamaa

Yawezeka kuna wengine wamekuvunja moyo

Maana mbeba maono hafi, inuka Mungu ana kusudi naweMbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane

Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekaneMbeba maono hafi, ni lazima yatimie

Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane

Song Discussions is protected by U.S. Patent 9401941. Other patents pending.

Enjoy the lyrics !!!