damnlyrics.com

Mbona Twaomboleza

Mbona Kucheza kwetu sasa ni maombolezo

Furaha ya mioyo yetu imekoma

Taji za vichwa vyetu vimeanguka

Kwanini tusijivike vazi la sifa

(Baba) Tufanye upya

(sikuzetu) Kama za kale

(Turejeshee) Wimbo wetu

(Tukusifu) Usie badilika

Nyakati za badilika Mungu abadiliki

Neno lake amelikweza liimara

Inua macho yako mtazame bwana

Upate ushindi wako kwa mkono wake

Lyrics by, Moses Ochieng (Umoja KAG)

Lyrics Submitted by Moses Ochieng

Enjoy the lyrics !!!