damnlyrics.com

Mwambieni Mungu

*Lyrics Mwambieni Mungu by Rose Muhando*

Hallelujah ×2 Mwambieni Mungu matendo yako yatisha kama nini,

Oh Hallelujah, Halleluujah, Sema Ameeen.

Mwambieni Mungu, matendo yako yatisha,

Matendo yako yatiasha hah, yatisha kama nini (×3)

Njooni muyatazame, Matendo makuu ya Mungu,

Atisha kwa mambo, awafanyayo mwanadamu,

Akikomesha vita, hata mwisho wa dunia,

Avunja maagano, ya miungu wabaya,

Avunjavunja uta, wa maadui wabaya,

Alivyojisifia, atukuzwe mbinguni

Na hapa ndipo oh, ninapomfurahia Mungu,

Atatawala ah, kwa uwezo wake milele, (×2)

Nitakuinua wewe,

Nitakuhimidi wewe,

Nitakushukuru we we, Mungu wa Rehema,(×2)

(Nitakuinua)

Ewe Mungu we,

(Nitalihimidi jina lako)

Ewe Mungu we,

(Nitakushukuru)

Ewe Mungu we,

(Mataifa washangilie)

Ewe Mungu we,

(Nita-kuinua wewe)

Ewe Mungu we,

(Nitalihimidi jina lako)

Ewe Mungu we,

(Nitakusifia wewe)

Ewe Mungu we,

(Mataifa washangilie)

Ewe Mungu we.

Uinuliwe Mungu wetu, (Hallelujah)

Uhimidiwe Mungu wetu, (Hallelujah)

Ushukuriwe Mungu Wetu,

Baba wa Rehema (×7)

The End

Enjoy the lyrics !!!