damnlyrics.com

Mwanamke Msamaria

MWANAMKE MSAMALIA

Intro : Mwanamke yule Msamaria a a kisimani na Yesu

Nipe, maji ninywe eh, a,a, a !!!!

Tous :

1.Mwanamke yule Msamaria

Alikutana kisimani na Yesu

Akamwambiya nipe maji ninywe

Nita kupa wa wuzima wa milele

Chorus.

Fungua moyo ayingiye

Anabisha mfunguliye eee

Mambu ya kesho atuyajiwi

Anabisha mfunguliye

2.Mwanamke na ye akamujibu

wewe Muyahudi na nimi Msamaria

Hayitowezekana kama mimi

Sheriya yetu ayiturushukamwe

Voc. Mwanamke na ye akamujibu

wewe Muyahudi na nimi Msamaria

Hayitowezekana kama mimi ii

Kunywa na we ee

– Chorus.

3. Ndjio ndji mwenzanngu moyoni mwako

Mokonzi wetu hatshaka korezea ndugu

Thsakuwa katika kudila bwana

Tshopasoku kesha tukiruwa ja bwana – Chorus.

Lyrics Submitted by Bonaventure KULEPETA

Enjoy the lyrics !!!