damnlyrics.com

Mwanzo Na Mwisho

Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi

Katika masononeko nikamlilia Bwana

Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu

Nitamuinua

Nitamsifu

Ndiye mwokozi

Ni Alpha na Omega

Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah

Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana

Tunakupa mamlaka mamlaka

Mamlaka

Milele

Nitamuinua

Nitamsifu

Ndiye mwokozi

Ni Alpha na Omega

Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah

Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana

Tunakupa mamlaka mamlaka

Mamlaka

Milele

Ndiye Mwanzo na Mwisho

Mungu wa Israeli

Ndiye Mwanzo na Mwisho

Jina lake Jehovah

Enjoy the lyrics !!!