damnlyrics.com

Mwema Kwangu

Nikikumbuka upendo wako kwangu, Nahisi Kama ningelikuwa na mabawa

Niruke mahali ulipo eeh Bwana nipige magoti mbele zako niabudu

Wewe ni mungu unanipenda jinzi nilivyo,

Ndio maana nakuimbia Bwana wangu

Wee ni mwema kwanguuu

Mwema kwangu

Wee ni mwema kwanguu

Mwema kwangu

You are soo good to me

So good to me Yahweh

Soo good to me

Oooh oooh Baba ninakupenda yesu

Kwa wema wako kwangu

Isingelikua ni wewe yesu shetani angelinimeza hai

Seliba na umasikini zingenimeza hai

Ninakupenda yesu ninakuabudu yesu oooh

Hakuna Kama wewe ooooooh

Upendo wako una nguvu kuliko moto hats nikipita kwenye moto sitaogopa

Tena upendo una nguvu nyingi kuliko mauti Baba

Ndio maana hata nikifa Leo nitafufukaaa

Eeh mungu Wangu unanipenda upendo

Wa bure Bwana ninakuinua Mungu wanguuu

Lyrics Submitted by Francis Thiong'o

Enjoy the lyrics !!!