damnlyrics.com

NAKSHI NAKSHI MREMBO

Ohwaah...

Oooohoo...

Nooooowah...

Ohwa...

Mimi nachotaka ulimwengu mzima, Wajue nimezimika... eh

Na kama kufanikiwa taratibu, Skia mambo yatajipa.eh...

Na sina pathara na subira Mola atanipa.eh

Na kama akini akishanipa pia, Ndio maana niko hapa

(So ndio mchezo gani huo, Wa kunionyesha za mchumba hivyo

Wajua me unanirusha roho

Na we ukawa hivyo Baby know)×2

Hasira hasara tuyaskia wahenga wali shasema

Na nitakasirika dear kesho nitakunyima... eh

(So ndo mchezo gani huo, Wa kunionyesha za mchumba hivyo

Wajua me unanirusha roho

Na we ukawa hivyo baby know)×2

Nakshi mrembo,

Unawatosa watosa na vigogo

Nakuja kwangu kawapa visogo

Ukawaona hawana mpango

Na kusema baby ukiona nalia... ah, Baby kuniona nateseka

Na moyo wangu tena kutesa, Nami na relax tu kwa sasa

Ohwaah...(AliK... 4real mum)

oooooho...(Ushanipata mum)

Nooooowah...

Nina we kuliko kote dunia nzima

Na kama unanipenda, Hakika mimi utanilinda

Nina we kuliko kote dunia nzima, Na kama ninakupenda, hakika wewe nitakulinda

Basi kwangu nakshi nakshimrembo

Nisicheze regge nicheze wimbo

Leo ma action na mavitendo

Lyrics Submitted by Eric Mwenda George

Enjoy the lyrics !!!