damnlyrics.com

Nakuabudu

ESTON ITA:NAKUABUDU

Mmmhh Mmmhhmmhh oohhh.

Nakuabudu uuhhh uuhh Aahhh ahhh.

Wewe ni Mungu peke yako, ninakuabudu.

Kando yako Hakuna mwingine, Wewe ni wapeke.

Umeheshimika na wanadamu, ninakuabudu

Ohhh ohhhoohh Mmmhhh

Hulinganishwi na chochote....

Enjoy the lyrics !!!