damnlyrics.com

Nani Kama Wewe

Nani kama wewe bwana ( Nani kama wewe)*4

Ooh wote tunasema (hakuna kama wewe, bwana wa mabwana)

Tunasema

(hakuna kama wewe bwana wa mabwana)

Mwanzilishi wa Imani yangu bwana(Nani kama wewe)

Kimbiliyo wakati wa shida

Alpha na omega ni wewe

Uliyegharamia wokovu wangu bwana

Tunasema

Hakutakuwa mwingine(hakuna kama wewe, bwana wa mabwana)

Mungu Imani yeetu

Ngome imara

Tunakutegemea

Tegemeo LA wasiojiweza

Enjoy the lyrics !!!