damnlyrics.com

Ninayo Sababu

Ninayo sababu ooh sababu ya kumtukuza bwana maishani mwangu

Ninapo amka napiga magoti kumshukuru mungu kwani sikawaida kuona siku nyingine, ninayo sababu ya kusema Asante

Enjoy the lyrics !!!