(Otile brown)
Eeih, turuh turuh tuturuh tururu taratara eeeiyy
Naitwa Raj unaitwa nani wewe unaitwa nani hivi unatoka mtaa gani wewe mtaa gani hivi we mwana wa nani wewe mwana wani
Hii mda wote umekuaga wapi wewe umekuaga wapi
Naomba usinipe kisogo nataka nifungue waangu moooyo
By the way ninamiliki gari ila sasa lipo gereji kidooogo
Attention attention babe can i get your attention
Mi sina ubaya sina ubaya just wanna give you some love and attention
(Chorus)
Sijui uendako wapi ila naomba nitembee nawe, nina mengi ninataka niseme nawe x2
Nataka niseme nawe kidogo niseme nawe x2 mmmh
(Baraka da prince)
Na weweee mmmh
aah, So baby please usione utani namaanisha je sema si utani
Unanimaliza mamaaaa aaah mmmh
Watu fulani wanadai nikuache unatoka na fulani
Mbona bila bila mama aaaah mmh
Twende nyumbani dada ameandaa kachori nile nawe
kisha maishani pale niishie birikani nikiwa nawe
Aukoko bichi tupunge upepo wa bahari
Mombasa Malindi tukale izo kachili jamani
Mama Tanzania weee
(Chorus)
Sijui uendako wapi ila naomba nitembee nawe nina mengi ninataka niseme nawe x2
Nataka niseme nawe kidogo niseme nawe x2
Pale Tanzania(kusanya) Mombasa Nairobi Kenya(kusanya) Dar esalaama(kusanya) nitembee mimi nawe
Ooh Tanzania(kusanya) ata Kampala(kusanya) Uganda Bunjumbula(kusanya) nitembee na wewe ee
Burudi na Rwanda(kusanya) bongo Kinshasha(kusanya) Sudani Ethiopia(kusanya) kusanya mama eeh x2
Kusanya mama eee
Kusanya mamaa eeeii
Lyrics Submitted by simon thuo