damnlyrics.com

Ongoza Hatua Zangu

Eeeh oooh wowowooo

Hatua za mwenye haki za ongozwa naye bwana

Na bwana hufurahia njia zake wakati wote ×2

Nakukabidhi bwana njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana

Utafanya hata nijapojikwaa sitaanguka

Chini bwana utanishika na kunitegemeza ×2

Instrunmental

Eehh haleluya wewe bwana wewe bwana bwana nimegusa

Mkono wako wafanya siri kwa ndani yangu haleluya haleluya

Mwangazie mtumishi wako uso wako mana ninayatamani maagizo

Yako elekeza hatua zangu kwa neno lako uovu usije ukanimiliki ×2

(Ee bwana naomba) ongoza hatua zangu ee bwana

Ee bwana ongoza mwendo wangu ee bwana ee bwana

(Ee bwana naomba) ongoza hatua zangu (niongoze) ee bwana ee

Bwana (niongoze) ongoza mwendo wangu(niimarishe) ee bwana ee bwana (

Ee bwana)...

Lyrics Submitted by Collince Ajosie

Enjoy the lyrics !!!