damnlyrics.com

Paulo Na Sila

Tazama Paulo Nate Sila walimuomba miunu.*2

Sikuzote hawakuchoka wakimlilia mungu.*2

Na gereza ikatikiswa milango ika funguliwa na gereza ika tikiswa milango ika funguliwaa...ee.

Nawe mama usichoke kumuomba mungu..

Nawe baba usichoke kumuomba mungu..

Siku moja utasikika na wewe utaainuliwa,siku moja utasikika na utaainuliwaa..

Tazama Paulo naye Sila walimuomba mungu.*2

Sikh zote hawakuchoka wakimlilia mungu. *2

Na gereza ikatikiswa milango ika funguliwa*2.

Na wewe mama ukulemewa wewe..na sisi tuombe..na wewe baba ukishindwa ndugu na sisi tuombe....maisha nayo yakikulemea na sisi tuombe....amina we amina...amina ee amina...amina we amina ....amina ee aminaaa...

Lyrics Submitted by Oliver wafula

Enjoy the lyrics !!!