damnlyrics.com

Piga Tarumbeta

Stanza 1

Anganza macho huku na kulee

(Utaona)utaona nini kikubwa?

Machafuko,magonjwa mengi,mauji ya kila siku

Watu wengi hufa vitani.. na wengine hufa kwa njaaa

Hayo yote yatokeapo..Bwana Asema ni kawaida

Chorus

Wasafiri amkeni tuiambe dunia hii

Tusishiriki dhambi zake tubuni dhambi zenu

Piga tarumbeta isikike waite watu wote (waondoke)waondoke babiloni babiloni mtachomwa×2

Stanza 2

Msipende dunia hii

(Wapendao)wapendao dunia hii

maishani hawana Yesu

Wanatumikia mali tu

Wapoteza haki za watu

Mwenye haki hunyimwa haki

BWANA MUNGU huona hayo

Mwisho wataangamizwa

Chorus

Wasafiri amkeni tuiambe dunia hii

Tusishiriki dhambi zake..tubuni dhambi zenu

Piga tarumbeta isikike.. waite eh watu wote

Waondoke babiloni babiloni utachomwa×2

Wasafiri amkeni tuiambe dunia hii

Tusishiriki dhambi zake...tubuni dhambi zenu

Piga tarumbeta isikike... waite watu wote waondoke babilonii babiloni utachomwa×2

Wasafiri amkeni tuiambe dunia hii

Tusishiriki dhambi zake...tubuni dhambi zenu

Piga tarumbeta isikike... waite watu wote waondoke babiloni babiloni utachomwa×3

Piga tarumbeta!!

Enjoy the lyrics !!!