Pwani yenye dhahabu safi (sana)
Ambayo yapaka kioo
Bwana amewatengenezea (wote)
Ambao watavumilia x2
Pwani yake ni safi kiroho kiroho safi
Nisafi safi sana kiroho kiroho safi x2
Tutaimba wimbo wimbo wa Musa (wote)
Na wimbo wa mwana kondoo
Tutaimba kwa shange kubwa (kweli)
Musa na BWana Wa majeshi x2
Pwani yake ni safi kiroho kiroho safi
Nisafi safi sana kiroho kiroho safi x2
Kutakua hakuna njaa (huko)
Kwani Bwana atawashibisha
Kutakua hakuna Giza (kwani)
Nuru ya Kristo itang'aa
Lyrics Submitted by Emmanuel Kabushi
Enjoy the lyrics !!!