damnlyrics.com

Roho Wako

Aah,Mmh

Barabara za dhahabu,Makao ya ajabu

Nawacha ya ulimwengu,Ili nione mbingu

Chuki nawacha,Nawacha,Na masengenyo

Wivu nawacha,Nawacha,yote maovu

Na Sasa kwako nasongea,mbali na maovu niweke

Kwako nasongea,Ushindi nipate

Nisaidie yesu,Nisaidie Baba

Unisaidie eeh Yahweh,Nisaidie naoma

Lyrics Submitted by Esthee

Enjoy the lyrics !!!