damnlyrics.com

Roho Yangu I Radhi

Roho yangu I radhi kukupendeza Bwana

Najitahidi sana kushinda ulimwengu

Kila njema nilipendalo hilo silitendi

Lile baya nisilo lipenda ndilo natenda

Ole wangu maskini mimi naangamia

(Chorus)

(solo) Oh namshukuru mungu kwa yesu kristo ohh

Kwa akili zangu uwezo wangu siwezi lolote)

(All) Bwana mimi nataka kutakazwa sana

Nataka mwoyo wangu uwe ni yako

Ukiangushe kile kilicho inuka

Unioshe sasa niwe safi kabisa

Dhambi ilinifanya nishindwe na dunia

Nishindwe kutumiza nakili ya ubatiso

Shetani kumaana maovu yake yote

Anasa za dunia maovu yake yote

(Chorus)

Lyrics Submitted by sudi

Enjoy the lyrics !!!