damnlyrics.com

Shauri yako

Shauri Yako -les wanyika

(Lyrics in Swahili and English)

"Nilikwelezeyanga oh mama, (I used to tell you oh my lady)

Fatou, wangu mama (Fatou, my lady)

Nilikwelezeyanga oh mama,

Fatou, wangu mama

Mapenzie ya kwetu eeh (This love of ours)

haitawiana mama (Will not survive much longer)

Mapenzie ya kwetu eeh

haitawiana mama

Tabia yako na yangu (Your character and mine)

haisikilizani (Are incompatible)

Tabia yako na yangu

haisikilizani

Unaona (You need to understand)

unaona sasa we mama (You need to understand, my lady)

Unaona

unaona sasa we mama

* * * * * * * * * *

Unapenda kuvaa (You like to dress well)

Mimi sina namna oh Fatou we (I have no way to support that)

Unapenda kula vizuri (You like to dine well)

Mimi sina pesa oh Fatou we (I have no money, oh Fatou)

Nipe mali (Borrowing money)

Sizoe (I do not want to become a regular at this)

Niuwe mutu (Kill someone)

Nipate dawa ya feza (So that I can find a way to wealth)

Niuwe mutu

Watanifunga (The man will surely lock me up)

Niuwe mutu

dhambi kwa Mungu Baba (That's a sin against the Lord God)

Kama hunipendi we (If you do not love me as I am, then)

Uende lote mama (Be completely gone, my lady)

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Shauri yako, shauri yako eeh (Its your problem)

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako

Wende lote Zena wangu (Be completely gone, my lady)

Siwezi kuua mutu mama (I cannot kill a soul, my lady)

dhambi kwa Mungu Baba yo (That's a sin against the Lord God)

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako

Wende lote Zena wangu

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

(Wende lote Zena wangu!)

* * * * * * * * * * * *

Niibe mali (If I steal)

Watanifunga (The man will surely lock me up)

Niuwe mutu (Kill someone)

dhambi kwa Mungu Baba (That's a sin against the Lord God)

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako

Wende lote Zena wangu

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

(Ohhh! Zena wangu!

Wende lote Zena...)

* * * * * * * * * * *

Niibe mali

Watanifunga

Niuwe mutu

dhambi kwa Mungu Baba

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Niibe mali

Watanifunga

Niuwe mutu

dhambi kwa Mungu Baba

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Kama hunipendi we

Uende lote mama

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako, shauri yako eeh

Shauri yako

Wende lote Zena wangu

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

Siwezi kuua mutu mama

dhambi kwa Mungu Baba yo

* * * * * * * * * * *

Niibe mali ukitaka watanifunga mama

niue mutu

dhambi kwa Mungu Baba eh

Kama hunipendi bibi yangu

uende lote mama

Kama hunipendi

Uende lote mama

Niibe mali ukitaka watanifunga mama

niue mutu

dhambi kwa Mungu eh

Kama hunipendi bibi yangu (If you do not love me, my wife)

uende kwenu mama (Go back to your family)

Kama hunipendi (If you do not love me)

uniwache yangu mama eeh (Leave me and mine)

Kama hunipendi

Cherie Mama wende lote

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh Zena wangu

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Ohhh wende lote mama

Zena wangu (My Zena)

Mtoto wa kwetu" (Child of ours)

(Composer:Mary Jebet)

Lyrics Submitted by mary kaptum

Enjoy the lyrics !!!