damnlyrics.com

Tukuza

VERSE 1 LYRICS:

Nitamtukuza Mwokozi milele daima

nitamtukuza Jehova milele daima

Nitamtukuza Mwokozi milele daima

nitamtukuza Jehova milele daima

nitamuinua Mwokozi milele daima

nitamtukuza Jehova milele daima

nitamuinua Mwokozi milele daima

nitamtukuza Jehova milele daima

nitamrukia Mwokozi siku zangu zote

nitamtukuza Jehova milele daima

nitamrukia Mwokozi siku zangu zote

nitamtukuza Jehova milele daimaCHORUS LYRICS:

Nitamtukuza aah... tamtukuza ooh..

milele daima

nitamuinua aah... tamuinua eeh...

milele daimaVERSE 2 LYRICS:

Yeye ndiye Bwana wa moyo wangu

Yeye ndiye Mungu wa maisha yangu

Binguni duniani hakuna kama Yeye

Simba wa Yuda Mwana wa majeshi eehCHORUS LYRICS:

nitamuinua aah... tamuinua eeh...

milele daima

Enjoy the lyrics !!!