damnlyrics.com

Umwema

Umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu

tunakuimba twakushukuru fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu

Ooh umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu

Umwema umwema BWANA

Umwema umwema fadhili zako niza milele makusudi yako ni makuu kwetu

Mbinguni wakuabudu duniani tunaimba utukufu ni kwa Mwana kondoo

Ameshinda shetani kamnyanganya mamlaka astahili sifa utukufu heshima

Umwema Yesu fadhili zako niza milele na milele

Uwaajabu Yesu wapita wote

Umzuri na u pendo

Tunakuabudu mwenye hekima uliyeumba Nchi na mbingu

Tumejiunga na watakatifu nawenye uhai tukusifu

Umwema Yesu

Enjoy the lyrics !!!