Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Usifiwe Jehovah
Usifiwe milele
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Twainua mikono yetu Baba twakusifu eeehhh
Usifiwe Bwana
Aaah Haleluya
Matendo yako ya milele uweza wako wa ajabu
Usifiwe Bwana
Aaah Haleluya
Usifiwe Bwana
Aaah Haleluya
Umeiwekea bahari mipaka yako milele
Usifiwe Bwana
Aaah Haleluya
Umekomboa uhai wangu na kaburi
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Mataifa yashangaa uweza wako eee
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Kwa yote uliyoyatenda
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Kwa uweza wako eee
Usifiwe Bwana
Aah Haleluya
Enjoy the lyrics !!!