damnlyrics.com

Usiyeshindwa

Mataifa yote, yanakufahamu

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa x2

Chorus:

Usiyeshindwa, usiyeshindwa

Wewe ni Mungu usiyeshindwa

Makabila yote, yanakufahamu

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

(Chorus)

Na kanisa lako, linakufahamu

Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

(Chorus)

Lyrics Submitted by Anto

Enjoy the lyrics !!!