damnlyrics.com

Utanifaa

.....................

Mimi na wewe ni wangu ( ni wangu)

Nakuwa njia uje kwangu, kwanguuu

Kuna habari naambiwaaaa

Nijihadhari nitapoteaa (nitapotea)

Wamekwisha chelewa

Wamekwisha, chelewa

Asubu... umenipata, bila tahadhari

Umenishika, umenishika aa a aaa

Mevuka hapa kwa imani

Sijui sababu gani, ila

Mi nahisi utanifaa utanifaa

Eee iyee iyee iyee iye

Yeee iyee iyee iyee iye

Yeeee iyee iyee iyee iye

Masika yaja taratibu

Inanyesha ni balaa

Umegeuka hitajiii,

Umenifanyia hifadhi

bandari ya salama ..

even .... sent you in meee

Kuna habari naambiwaa aaaa

Nijihadhari nitapotea aa

Wamekwisha chelewa

Wamekwisha chelewa

Asubu... umenipata bila tahadhalii

Umenishika umenishika aa a aaa

Mevuka hapa kwa imani

Sijui sababu gani ila

Mi nahisi utanifaa utanifaaa

Eeee iyee iyee iyee iye

Yeeee iyee iyee iyee iye

Yeeeeeee iyee iye iye iyeee

Lyrics Submitted by MakiAngelina

Enjoy the lyrics !!!