damnlyrics.com

Uvumilivu (Version 1)

K. Sher - Uvumilivu

Uvumilivu umenishinda

(baby I love you)x3

Songea karibu yangu

(Nipe raha)x 3

Mara ya kwanza mi nakuona

siku flani

Sikuhisi ungeingia moyoni

Mara muda kanichoka burudani

Mpaka home kajitupa kitandani

Uvumilivu Umenishinda

Baby I love you

Sikukwambia na amini ulijua

Na Sometimes namcall

mpaka night (ooh baby boy)

Lyrics Submitted by Josphat

Enjoy the lyrics !!!