damnlyrics.com

Wastahili

WASTAHILI (PAUL CLEMENT feat. RUTH MKEMWA)

..NI NANI ASTAHILIYE KUABUDIWA MILELE

NI NANI ASTAHILIYE KUPEWA HESHIMA ZOTE

NI NANI ASTAHILIYE KUPEWA UTUKUFU WOTE

NI NANI ASTAHILIYE KUABUDIWA MILELE

NI NANI ASTAHILIYE KUPEWA HESHIMA ZOTE

NI NANI ASTAHILIYE KUPEWA UTUKUFU WOTE

(WASTAHILI MWANAKONDOO WA MUNGU, WASTAHILI WASTAHILI×2).. ×2

Chorus;...WASTAHILI MWANAKONDOO WA MUNGU WASTAHILI WASTAHILI...

LELELELELELILEE LELELELEILEE LELELELELILEE...LELEEE

WASTAHILI MWANAKONDOO WA MUNGU, WASTAHILI, WASTAHILI ×3

Lyrics Submitted by Aleycia

Enjoy the lyrics !!!