damnlyrics.com

Wewe Na Mimi

7. Wewe na Mimi

Mimi na wewe

I wish you see how pretty I look

In this shoes that you bought for me

Na ma-time natamani

Ungeona how happy you make me

Haijalishi kuwa haunioni

Ninachojali mimi mapenzi yetu

Mimi na wewe kitu kimoja

Sioni haya tukiwa pamoja

Mimi na wewe kitu kimoja

Sioni haya tukiwa pamoja

Mimi na wewe…

I wish you′d see the stars in the sky

Just to see how amazing they look

I wish you’d see me write a song for you

Alafu cheki wasee wakibambika

Haijalishi kuwa haunioni

Ninachojali mimi mapenzi yetu

Mimi na wewe kitu kimoja

Sioni haya tukiwa pamoja

Mimi na wewe kitu kimoja

Sioni haya tukiwa pamoja

Mimi na wewe…

You use your heart to see what most of your sight don′t see

Unaona kila jinsi ya kunifurahisha, wafanya nihisi mapenzi kweli yapatikana

Mimi na wewe…

Lyrics Submitted by kanyi Thiong'o

Enjoy the lyrics !!!