1.Yesu aliposhuka,kutoka juu mbinguni,
Kwamba aliyaona, mambo mengi ya ajabu *2
Yesu alitupenda na kujitoa kwake ,
Sisi tupate pona,Na yule mwovu
*2
CHORUS
Base;Ni yule Yesu, aliposhuka kwetu
Akaaja duniani ,kubeba mizigo yetu
Kafungua vifungo,vya adui Shetani
Na sasa anatawala,mbinguni na duniani.
Alto;Shetani hawezi tena. *2
Kutubebesha mizigo. *2
*2
Na sasa tuna uhuru kuitwa wana wa Mungu.
2.Na sisi wanadamu,tubadilike sasa
Tuache mambo maovu,yasiyompendeza Mungu*2
Kabeba dhambi zetu........
Sisi tupate pona,na yule mwovu
*2
3.Vijana tusikie, sauti ya mwokozi
Anapotuhitaji,tuendeni kwake wote*2
Yesu alitupenda,na kujitoa kwake
Sisi tupate pona,na yule mwovu
*2
Lyrics Submitted by Nashon Otieno