damnlyrics.com

jina langu

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni, Hewe Yesu jina langu liwepo kitabuni

Chorus

Soloist

Ni maombi yangu jina langu liwepo kitabuni

Kile kitabu kitakatifu kisicho sema uongo

Kile kitabu kikamilifu kilicho andikwa na Mungu mwenyewe

Yesu nisaidie niwezeshe niwepo kitabuni

Wewe ulisema ashindaye atapewa jina jipya

Na wala jina lake halitafutwa kitabuni

Utalikiri jina Lake mbele ya Mungu na malaika

Baba ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Wewe ulisema ashindaye utampa jina jipya

Na wala jina lake halitafutwa kitabuni

Utalikiri hilo jina Lake mbele ya Mungu na malaika

Yesu nisaidie niwezeshe niwepo kitabuni

Chorus

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni, Hewe Yesu jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni, Hewe Yesu jina langu liwepo kitabuni

Soloist

Nikija usiseme ondoka sikujui

Nikija usiseme sina mwaliko

Eeeh nikija usiseme sina vazi la harusi

Yesu nisaidie niwezeshe niwepo kitabuni

Nisijitete nilihubiri na huna rekodi nami

Niliita baba eeeh baba na bado hunijui

Niliponya wagonjwa na kutoa mapepo na huna rekodi nami

Yesu nisaidie nisikose, kuwepo kitabuni

Chorus

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni, Hewe Yesu jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni

Ninaomba jina langu liwepo kitabuni, Hewe Yesu jina langu liwepo kitabuni

Lyrics Submitted by Nyawade

Enjoy the lyrics !!!