damnlyrics.com

nishike Mkono

Verse 1

Safari ya Imani,nakutazama Yesu

Nataka,nifike, ng'ambo salama

Lakini,njiani mawimbi Ni mengii

Mashaka yanisonga kuniangamiza ohohooo.

Chorus

Nishike mkono nisizame,

Mawimbi Ni mengi, niokoe.*2

Verse 2

Mawimbi Ni makali,nahitaji msaada

Nishike mwokozi niwe salama

Wewe uliyeniita nakuja kwa neno lako

Napata kutembea kwa neno lako ohohohoo

Repeat chorus

Safari ya imani,natembea kwa Imani

Dhambi isinishinde nisaidie

Katika majaribu makali Kama Moto

Najua nitatoka Kama dhahabu.

Repeat chorus

Repeat chorus

Lyrics Submitted by Elly John ndelle

Enjoy the lyrics !!!