damnlyrics.com

Aniongozaye

Aniongozaye,amenipa nguvu,kuwa na Yesu,ni heri....

Chorus.

Ninafurahishwa naye wakati wa Rana,yakiwapo majaribu hunitia nguvu,neno lako lanitosha huniongoze,pekee yangu siwezi,nitaanguka×2.

1.Uliponitafuta sikutambua,uliponongoneza,ningejuaje..bila wito wa Yesu,ningepotea,nafurahi ni huru,nakuabudu...

2.Ninapodhamiria kurudi kwako,ninapotaabishwa na machafuko,nakumbuka zilivyo huruma zako,nafurahi ni huru,kuwa na Yesu..

Enjoy the lyrics !!!