DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Uzito Wa Msalaba - Kurasini SDA Choir



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Uzito Wa Msalaba Lyrics


Hukutambua uzito wa msalaba
Najiuliza huwezi kujua
Jambo moja ninajua
Mwokozi
Uzito ukamlemea
sasa ninaona kiu
Yesu alia msalabani
Kikombe hiki
Kiniepuke vipi
Yote ni kwa ajili yetu ×2
Hukutambua fedheha za msalaba
Wala kujua maumivu yake
Akachomwa misumari
Mkononi
Mkuki ubavuni mwake

sasa ninaona kiu
Yesu alia msalabani
Kikombe hiki
Kiniepuke vipi
Yote ni kwa ajili yetu ×2

Enjoy the lyrics !!!