damnlyrics.com

Asubuhi Imepita

Asubuhi imepita, usiku umeingia eeh

Utukufu wa bwana unatawala duniaaah

Waniuliza wapi mungu wakoooh

Mungu wangu anakaa ndani ya sifa utukuzwe mungu eeeh

CHORUS

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Oh tangu nimpokea Yesu, kiu ya dhambi ikaisha

Nikanywa maji ya uzima akamaliza kiu yangu weeh

Nikaacha kutangatanga uko na uko wowoo

Nikapata mpenzi wa moyo akamaliza kiu yangu weeh

CHORUS

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Nikisoma bibilia ninaona Aanna eeh

Ule alikua tasa ukampa Samueli eeh

Wewe ni mungu wa watoto unapeana watoto wowoo

Patia wanaokosa wakutuze babaaa

CHORUS

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Waniuliza wapi mungu wakoooh

Anakaa ndani ya sifa anastahili sifa eeeh

Mwanaume wa sifaa harudi nyumaaa

Mtafute wakati wote utamupata utukuzwe baba eeh

CHORUS

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Kama isingelikua wewee, ningekua wanani mi eeh

Shetani alikua amenindoa, ukanikomboa Rabiii

Mwanaume wa siku, usiyetamani rushwaaa

Acha ukainuliwe na mataifa yote tunakushukuru baba

CHORUS

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

(Hakuna kama wewe baba)

Eeeh Yahwe,eeh Yahwe utukuzwe

(Sina mwingine kama wewe baba)

Eeh Yahwe,eeh Yahwe utukuzwe

(Anaye pigana vita vyangu baba) eeh Yahwe utukuzwe

Eeh Yahwe,eeh Yahwe utukuzwe

Batrimayo kipofu alikua hawezi kuonaaa

Alipokutana naye akaanza kuonaaa

Mwanaume wa nguvu anafungua macho ya vipofu

Anapo kutana nao, wote wanaonaaa usifiwe mungu eeeh

CHORUS

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe, eeh Yahwe utukuzwe

Eeeh Yahwe

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Eeeh Yahwe

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Uliyejuu ya mbingu babaaa

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Tunakuabudu Yesu eeh ooh

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Oooh Yesu eeh Oooh Yesu eeh

Oooh Yahwe eeh Oooh Yesu eeh

Taifa lako linalia Yesu eeh

Shuka utembee

Oooh baba eeh

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Oooh baba eeh

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Wajane wanalia Yesu eeh shuka utembee

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Yesu wanao wanalia Ooh baba eeh

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Ooh Yahweh Ooh Yesu eeh

Utukuzwe Mungu wangu utukuzwee

Tunalia Yesu eeh Ooh Yesu eeh

Tunalia Yesu eeh Ooh Yesu eeh

Shuka utembee baba eeh

Shuka utembee Yesu eeh

Ooh baba eeh Ooh Yahwe

Yahwe eeh Yahwe eeh

Yahwe eeh Yahwe Yahwe eeh

Yahwe eeh utukuzwe baba eeh

Yahwe eeh utukuzwe babaaa

Baba baba baba

Lyrics Submitted by Musime

Enjoy the lyrics !!!