DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Sitasumbuka - Apostle Elisha Muliri



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Sitasumbuka Lyrics


1. SITASUMBUKA kwa kuwa Mungu Ananituza daima,
Anachukua mizigo yangu Nyakatizote za mwendo.
Sijaiona nyingine siku, Na jana imetoweka,
Na leo Mungu anazijua hitajizote ninazo.
2. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu Ni Baba yangu kabisa.
Hawezi kunisahua mimi Ingawa akijificha
3. Sitasumbuka kwa kuwa Mungu Anishibisha neema,
Anipa yote yanifaayo kwa roho yangu na mwili.
4. Maua yote anayavika, Na ndege wote wa anga.
Wanapokea chakula chao Pasipo shamba na ghala.
5. Ninafurahi katika Bwana, Na kama ndege naimba.
Najua kwamba nyakati zote Babangu ananitunza.

Lyrics Submitted by Jeanteen rwiyaza

Enjoy the lyrics !!!