damnlyrics.com

Asubuhi Yetu

• Asubuhi kumepambazuka na giza latoweka, na viumbe vyote vyafurahi na kusifu Jina Lake.

o Na nuru yake yapekee yaja, (yaja) Na mchana ulio mwema na upepo mzuri huu ni kazi yake (mwokozi) bwana wetu (Yesu)

• Kumbuka kuanza na mwokozi kwa kila utendalo, umshukuru Mungu peke yake kwa yote alo tenda.

o Na nuru yake yapekee yaja, (yaja) Na mchana ulio mwema na upepo mzuri huu ni kazi yake (mwokozi) bwana wetu (Yesu)

• Sasa ndugu yangu jiulize kwamba wamjua Yesu, yeye ni mwema na mwaminifu kwa kila uombalo.

o Na nuru yake yapekee yaja, (yaja) Na mchana ulio mwema na upepo mzuri huu ni kazi yake (mwokozi) bwana wetu (Yesu)

Enjoy the lyrics !!!