DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Damu Ya Yesu - Rosemary Njage



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Damu Ya Yesu Lyrics


Ninapokumbuka damu ya Yesu msalabani nashindwa kueleza ukuu wa Yesu uu
Ni upendo jinsi ganj mtu asiye na hatia akaamua kumwaga damu yake.....
Damu ya Yesu*3 inayo nguvu uuu
Damu ya Yesu*3 inayo nguvu..
Walimtemea mate
Wakamvua mavazi
Kampiga zaidi ya mwizi
Yesu wangu uu
Yesu kapitia mengi
Lakini kamtazama Baba
Kamwambia wasamehe makosa yao.....
Damu iliyotiririka
Yaponya magojwa yote
Na inavunja laana
Za shetani....

Naiamini hiyo damu
Naitazama hiyo damu
Naishi Kwa hiyo damu
Yake Yesu....
Lyrics Submitted by Faith Destiny

Enjoy the lyrics !!!