damnlyrics.com

Dunia Ina Mambo

Oh oh

Dunia ina mambo bana

Usishangae sana, sana

Tena sana, sana (eh ehe eh)

Hata mimi nashanga bana

(Hata mimi ( nashanga bana x2)

Ukiniona waniona na aibu sana,

Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana,

Siku hizi naogopa kuomba bwana,

Juu hata mifuko za wakora zaimba hosana,

Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki,

Nikalimwa na asali,

Weka tumbo mbele wacha akili nyuma,

Maiti kavalia,

Walisema sikuskiza, ooMama na baba walinighusia ewe kijana,

Kuwa mwanangu jionee

Dunia ina mambo

Yao sikuyasikiza,

sasa mimi najuta,

Kweli najionea,

Dunia ina mambo

HeyChorus

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo bana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo sana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo bana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

Dunia ina mambo oooNafunga bao,

Niite pita dao,

Ubaya ya binadamu

Ni rahisi kusahau,

Changu ni chetu,

Lakini Chako ni chako,

Mtu wangu ah aah wacha vako,

Marafiki wamekuwa manafiki bana,

Najionea tena kushangaa sana

Niliacha kuwa mjinga, (nini)

Ati sasa najiringa,

Ukistaajabu ya Musa ya Firauni badoWalinambia kijana,

Jihadhari na 'limwengu

Hao walimwengu si wazuri kwako kijana,

Yao sikuyasikiza,

Sasa mimi najuta

Kweli najionea,

Dunia ina mambo

HeyDunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo bana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo sana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo bana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

Dunia ina mambo oooUkiwa nao leo marafiki ni wengi sana

Watakusifu -oo wewe kijana mzuri

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia

Na mengi kusema wewe kijana mbaya

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo)Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo bana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo sana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mambo

(Dunia ina mambo bana)

Dunia ina mambo oo

Dunia ina mamboDunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo

Dunia ina mambooo

Dunia ina mambo

Dunia ina mamboo

Ah aah aaah

Ah aah aaah

Enjoy the lyrics !!!