DamnLyrics - The center provides all the lyrics

Kaa Ridho (with Juliani & Bien) - Just a Band



     
Page format: Left Center Right
Direct link:
BB code:
Embed:

Kaa Ridho (with Juliani & Bien) Lyrics


Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaaKawaida niko macho ka mbwa ya Osama
Kwa hivyo nita hama niende yokohama
Ju hapa nitazama na watu wananiona tu
Na hiyo ni story ambayo nimekata
unataka ku chinja kuku umeshike nail cutter
Ama kuua umbu umebeba panga
Nairobi ukisleki haki ya nani utatreki
Utabaki haucheki uliza Thabo Mbeki
Vile watu wanafanywa wakipelekwa retire
Ju akili zao hazi kuwa on fire
Tafuta nikipata ni kose ni cheke
Lakini nikipata ni yangu
Lakini nikikosa sitaweka mkono juu

SemaUnfanya nini? Unaenda wapi?
We si superman wacha kujifanya hero
Unfanya nini? Unaenda wapi?
We si superman wacha kujifanya heroKaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaaHehe
Ushaambiwa mzeiya
Uli mwokota kwa bar
Pale unaongeza chocolate, maua kwa budget
Lust inatafuta doom
Love inajenga home
Usikae mpaka late na mzee kobe
Uko mbali na nyumbani
Ako na yake mgongoni
walkie talkie imechapiliwa
Label ya nokia
Unauziwa na warranty receipt
Nakwaambia-aah
Tissue imeisha kwa toile
Unatembea hujajipanguza
Na uko old newspapers
Gazet usi
Kuwa mjanja
usijaribu kuresuscitate
Nyoka mouth to mouth
Bye for now
Lakini nisikakupate
Kibahati bilaUnfanya nini? Unaenda wapi?
We si superman wacha kujifanya hero
Unfanya nini? Unaenda wapi?
We si superman wacha kujifanya heroKaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaaa-aaaa
Kaaa naanaa naaana
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa Kaa ridho
Kaa ridho
Kaa chonjo
Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa Kaa ridho

Enjoy the lyrics !!!

There have been a number of artists going by the name of Just A Band: (1) A Kenyan experimental band
(2) An Electro duo from Bordeaux Just a Band (1) is a house/funk/disco band formed in 2003 Nairobi, Kenya
Their career was launched with their debut album, Scratch to Reveal, in 2008. Their music has explored various musical directions such as, but not limited to jazz, hip-hop, disco and electronica. Their debut album was relatively successful.

Read more about Just a Band on Last.fm.


User-contributed text is available under the Creative Commons By-SA License and may also be available under the GNU FDL.

View All

Just a Band